1.Kufanya
mapenzi katika mtindo (style) ambayo itafanya mbegu za kiume
zikae kwa muda mrefu ukeni na hivyo nyingi kupanda kuingia
kwenye kizazi na kwenda kurutubisha yai.
'missionary
position' ni nzuri zaidi, ambapo mwanaume anakuwa juu, epuka
positions za mwanamke kuwa juu kwani hufanya mbegu zimwagike
kwa gravity. Jaribu pia kuweka mto chini ya kiuno ili kukiinua
na kufanya mbegu ziingie ndani kwa urahisi zaidi.
2. Tumia
ovulation prediction kit, hiki ni kifaa ambacho kitakusaidia
kujua wakati hasa mwanamke ameengua yai na ndio kipindi ambacho
mwanamke ana uwezo wa kushika mimba akikutana na mumewe. Ni
rahisi kutumia.
3. Fanya
tendo la ndoa kabla ya kuengua yai (kabla ya ovulation),
huongeza uwezekano wa kushika mimba kuliko kusubiria ovulation
au kufanya baada ya ovulation.
Kutaneni
siku mbili au tatu kabla ya ovulation. Ukitumia ovulation test
kit, mkutane kuanzia siku itakapokuwa positive kwani huwa
inapredict ovulation kutokea 48 hrs after it tests positive.
4.
Usitegemee njia ya kalenda kutabiri uenguaji yai, njia hii kwa
kiasi fulani huweza kuwasaidia wale wenye mzunguko wa siku 28,
lakini pia haina uhakika wa 100%, wengi wa wanawake hawaengui
yai siku ya 14 ya mzunguko wa hedhi, kwa hiyo kutegemea kalenda
kutakuchelewesha kupata ujauzito.
5. unapotaka kushika mimba, acha au punguza kwa kiasi kikubwa matumizi ya pombe, sigara au dawa za kulevya.
6.
unapotaka kupata mimba, tendo la ndoa liwe kitu 'enjoyable' na
sio tendo 'mechanical' kwa ajili ya kutafuta mtoto. Plan a
romantic evening or try something different to spice things up.
How you
are feeling sexually may increase your chances of getting
pregnancy. For women a better orgasm may help pull the sperms
into the uterus and for men a better orgasm may increase their
sperm count.
7Kufanya tendo la ndoa mara kwa mara, angalau siku tatu kwa wiki, ikiwezekana on alternate days.
Kumbuka
kuna asilimia 10 - 25 ya couples ambazo zina matatizo ya
infertility lakini vipimo havionyeshi tatizo, inaweza kuwa
namna ya kufanya mapenzi ndio ikawa shida, jaribu njia hizo 7
juu.
Kama hizi
njia hazijakusaidia basi utakuwa na matatizo na unaweza
kumuona daktari kwa msaada wa vipimo na matibabu. Natumaini uzi
huu unaweza kuwa msaada kwa watafutao watoto.
Loading...
Blog Archive
-
▼
2015
(29)
-
▼
September
(9)
- JUA STYLE 7 MPYA ZA KUFANYA MAPENZI ILI MPENZI WAK...
- kuma yenye nyege nyingi
- HII NI KWA WANAWAKE TU....NJIA TANO ZA KUMPIZISHA ...
- SHOSTI NA STYLE ZA KITANDANI(LADIEZ ONLY)
- How To Make A Woman Scream In Bed
- Keeping a Clean and Healthy Vagina
- Computer System Case
- BIOS and CMOS?
- Types of CPU Cooling Fans
-
▼
September
(9)
Powered by Blogger.
1 comments:
Am interested with a mammy plzz am strong enough to handle her bt money z a problem to me so any 1intrested watsapp me 0718923599 today
ReplyPost a Comment